KARIBU KATIKA NGOMA NZURI.
blog hii imetengenezwa na OBBY MJUZI kutoka FAMILIA YA WATU MAKINI kwaajili ya kusapot nyimbo za wasanii wachanga BURE.
unachotakiwa kufanya ni kuwa na COVER NZURI na wimbo wako basi(kwa usie na cover tunaweza kukutengenezea kwa gharama ndogo). HATUHITAJI PESA YOYOTE KUTOKA KWAKO. lengo ni kuwasaidia vijana wenzetu kufikia malengo yao.
JINSI YA KUWEKA WIMBO WAKO KWENYE BLOG HII
1.unatakiwa uwe na cover nzuri na wimbo wako au link ya njimbi zako
2. tuma wimbo wako na cover kwa email yetu obbymjuzi@gmail.com
3.Sisi tutaupandisha mtandaoni na kuushare kwenye PAGE YETU YA FACEBOOK, kupitia hapo Unaweza kuishare kwa marafikii zako ili waisapoti
4.PAGE YETU YA FACEBOOK INAITWA OBBY MJUZI, unaweza icheki upande wa kuliwa mwa hii blog na uka i LIKE ili uwe unapata notification pale tunapoiweka nyimbo mpya
TUNAKUTAKIA MAFANIKIO MEMA KWENYE KAZI YAKO YA MZIKI.
Regards
OBBY MJUZI
CEO
WATU MAKINI FAMILY
farajiaman77@gmail.com
ReplyDelete